Utafiti umeonyesha kwamba misingi na mikondo ya historia ya jamii huipa fasihi umbo lake kifani na kimaudhui pamoja na mwelekeo. Peleleza utaona, hayataki utafiti, Kama tungelikongana , ingelikuwa ni bahati, Vipi tungelisukumana, katika hiyo hayati? Mwanamke siyo huyo? Wema anambiwa ni ndia, hadi bandari salama Hayo inliyasiklia, nao wahenga wa zama Penye wema nitajitia, ipate taadhima Siati kutenda wema, japo mungainunia. Sina sikuachi jina, mkata hatasifiwa Hata nifanye la mana, mno mi kulaumiwa Poleni wangu sana, sana kwenu cha kutowa Mrithi nini wanangu?
nest...