Related Articles. Ngoma hiyo ilipokelewa vizuri na mashabiki wa muziki na miongoni mwa nyimbo zilizopata downloads nyingi zaidi mtandaoni. Akiwa na urefu wa 7 ft 3 Hasheem ndiye mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi hiyo. Na sasa ametajwa kuwania tuzo za Kili kama msanii bora anayechipukia huku wimbo Me and You alioshirikishwa na Ommy ukitajwa pia kwenye vipengele kibao. Ndiye Miss Tanzania wa kwanza aliyewahi kufika mbali zaidi kwenye shindano la Miss World ambapo mwaka alifanikiwa kuwa Miss World Africa.
nest...