Wednesday 20 December Do you know a YouTube video for this track? Friday 16 February Look not to be knocked out. Darassa - Too Much Lyrics Nani rafiki, nani adui Nani mapenzi, nani real, nani fake Kuni discuss wakutoa wakunipa marks Mvua jua hamtaki za wapi, you people talk to much Mwingine atakutafuta kama nadeal Wengi watakukuta tu ume-chill Akaleta maneno ya kiswahili Wanataka kujua unalipaje bill Mwengine atakutag Mwengine haekiwazi ye ni hater Roho ya ubinadamu kazi wengine watanipenda nikisepa Acha kuniletea shazi, too much
nest...